Mwandada
anekwenda kwa jina la Torz Reynold mwenye umri wa miaka 26 anetokea
nchini Uingereza ametoa kali ya mwaka baada ya kulipiza kisasi baada ya
kugundua boyfriend wake amekuwa akimcheat.
Torz
alikuwa amejichora tattoo yene jina la mpenzi wake huyo mkononi na ndipo
alipo amua kuuimenya sehemu hiyo ya ngozi yake na kuiweka kwenye chupa
na kuifunga kama zawadi na kumtumia huyo jamaa yake posta.
Inasemekana
huyo bwana alimuwaga mpenzi wake kwamba amepata kazi Alaska na
akaondoka huku mpenzi wake huyo alimsindikiza airport. Baada ya muda
akisikia kutoka kwa marafiki zake kwamba huyo bwana yuko nchini UK
anaishi na mwanamke mwingine.
Torz akionyesha kifaa alicho tumia kumenyea ngozi yake hiyo
Torz akionyesha mkono wake baada ya shughul hiyo na kipande cha ngozi alicho menya
Kipande cha ngozi kikiwa kwenye chupa tayari kupelekwa posta
Alama iliyo bakia baada ya kutoka kipande cha ngozi kilicho kuwa na jina la 'Chopper'
Majanga
Huyu ndiye bwana aliyetumia zawadi ya kipande cha ngozi chenye jina lake |
Jamani tuweni makini na hizi tattoo na pia napenda kunukuu maneno tafuatayo kutoka
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment