Baba
wa binti mmoja amemkaripia binti yake wa miaka 10 kupitia mtandao wa
kijamii Facebook kutokana na kitendo cha binti huyo kuongopea umri wake,
kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na pia kuwa na akaunti za
mitandao ya kijamii kitu ambacho hakiruhusiwi kwa mtoto wa umri kama
wake.
Kali zaidi ni kuwa karipio hilo
limeambatana na picha ambayo baba huyo amempiga picha binti yake akiwa
amevalia tisheti yenye maelezo yanayoelezea umri wake pamoja na daraja
la darasa analosoma.
Picha hii imeenea na kuchukua umaarufu sana mitandaoni siku ya leo.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment