Kumetokea
 ajali mbaya ya Gari aina ya Prado iliyotokea katikati ya sengerema na 
Geita kijiji cha (Kima), Iliyosababishwa na kupasuka kwa tairi ya Nyuma 
ya gari ikiwa na mwendo kasi na kupinduka, na kusababisha vifo vya watu 
wawili papo Hapo akiwepo Dereva wa Gari hiyo, Majeruhi wamefikishwa katika Hospitari ya Misheni Sengerema kupata matibabu waliyopata - Taarifa Zaidi Zitawajia Hapa Hapa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment