Katika hali iliyoshangaza wengi,beautiful onyinye mwenye endless fame
mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they
don’t have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in kwenye
mitandao ya kijamii na kuanza kumponda, akichezesha taya na Ephraim
Kibonde katika
kipindi cha jahazi amesema watu hao hawampi shida hata
kidogo kwani wamepigika na yupo juu zaidi yao.
My Take:Hivi Sister wema hizo simu ulizozidharau unazijua vizuri
kweli? Hivi unaweza ku-compare features za Huawei Ascend P7/Tecno H7 na
Samsung Gallaxy S4?
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment