September 26 ilikua ni siku ambayo mrembo kutoka Tanzania Wema Sepetu
alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ndani ya siku yake hii
ukitoa party aliyoifanya kulikuwa na vitu mbalimbali vya kuvutia.
Siku hiyo Diamond platnumz aliamua kumzawadia zawadi ya gari mpenzi wake Wema Sepetu gari aina ya Nissan Murano.
Mbali na zawadi aliyoitoa Diamond Platnumz ya gari hilo pia Meneja wake
Martin Kadinda nae alimpatia Wema Sepetu zawadi ya Gari aina ya BMW mpya
kabisa ikiwa na namba mpya za sasa.
Sasa baada ya zawadi hizo kuonekana, Umoja wa Ma-Girlfriend Tanzania
nao wameamua kutoa Ya moyoni kwa Ma-Boyfriend wao kuhusu birthday zao
inapofika muda wa kusherehekea.
Hiki ndicho walichokiandika.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment