Staa wa filamu ya ‘Harry Potter’, Emma Watson alitoa hotuba kwenye Umoja wa Mataifa kuwataka wanaume kuungana katika harakati za usawa wa kijinsia. Hackers wametishia kuvujisha picha za utupu za mrembo huyo ambaye ameamua kujitolea kutetea haki za wanawake.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, mtandao wa 4chan ambao
umevujisha picha za mastaa kibao wa Marekani siku chache zilizopita
umeweka tangazo lenye picha ya muigizaji huyo na kudai kuwa picha zake
zitaingia mtandaoni siku nne zijazo.
Mtu aliyeweka post hiyo ameandika: Watson makes stupid feminist
speeches at UN, and now her n*des will be online, HAHAHAHAHAHAHAH,”
claiming that it is really going to happen. Feminist bi**h was going to
show the world she was as much of a wh**e as any woman.”
Hadi sasa picha za mastaa mbalimbali wakiwemo Kim Kardashian, Rihanna na wengine zimevuja.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment