Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon Mpanju akisoma Azimio la kupitisha
marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini
Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ezekiel Olouch akichangia mada wakati
wa usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum
leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Pindi Chana akichangia mada wakati wa
usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo
22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Selemani Jafo akichangia mada wakati wa
usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum
leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi
ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia mjadala bungeni
wakati wa usomaji wa Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge
Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment