STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’.
Diamond amemzawadia gari mama yake
wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla
iliyohudhuriwa na mastaa kibao.
Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New
Model yenye thamani ya milioni 38.1. Diamond amekabidhi gari hilo
kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi.
![]() |


Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment