Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Iringa, Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari feki ambao walikuwa
wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro. Kulia ni Brazil
Nyakunga ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bosi
wake Goodluck Mbehale.
Askari Polisi mkoani Iringa (kushoto) akiwa na maaskari feki katika ofisi ya kamanda wa polisi baada ya kuwanasa.
(Picha na Francis Godwin, Iringa)
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment