
Dada wa marehemu Tyson, Doreen akilia kwa simanzi baada ya
mwili wa kaka yake kuwasili katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini
Dar es salaam jana jioni.
Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar.
Wadau wa tasnia ya filamu wakiwa na jeneza la Mwili wa Tyson ukiwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki.


Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment