Huyu hapa ni msanii toka pande za mkoa mpya wa Geita na anapatikana Runzewe anapenda sana kufanya kazi na watu, hivyo kama wewe ni msanii na unahitaji kufanya kazi naye yupo huru kabisa. Pia anahitaji sapoti nyingi sana toka kwenu mashabiki kama amekosea akosolewe. Mawasiliano yake haya hapa 0759957715.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment