Habari za Uhakika zilizopo mjini Mbeya zinasema kuwa Mwanamuziki wa
Injili nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Happy Kamili anayetamba
sana na wimbo wake "Mpango Wa Mungu" na "Jina Kubwa" amehukumiwa
kifungo cha Miezi Mitatu Jela bila faini katika Mahakama Ya Mwanzo
Mkoani humo kwa Kosa la Kusababisha ajali ya barabarani.
Kesi hiyo iliyokuwa imeanza kusikilizwa mwezi January Mwaka huu, siku ya jana imetolewa hukumu kwa Mwanamuziki huyo kupatikana na hatia ya kusababisha ajali kwa kugonga gari lingine kwa nyuma.
Kesi hiyo iliyokuwa imeanza kusikilizwa mwezi January Mwaka huu, siku ya jana imetolewa hukumu kwa Mwanamuziki huyo kupatikana na hatia ya kusababisha ajali kwa kugonga gari lingine kwa nyuma.
Mwanamuziki huyo
baada ya Kukiri kutenda kosa hilo mahakamani alipatikana na hatia ya
Hakimu alitoa Hukumu ya Miezi Mitatu Jela pasipo kutoa Hukumu Mbadala ya
Faini.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment