Wakati Diamond Platnumz akiwa Afrika Kusini Tayari kabisa
kwa tuzo za MTV MAMA Awards hapo kesho , hii leo wamepewa ka-suprise
kidogo baada ya mtasha wa kizungu kukamatia gari na kuwazungusha mitaa
ya Afrika Kusini.
Pia babutale amefunguka hivi kuhusiano na
dereva huyo kupitia ukurasa wake wa instagram, “Dereva wa leo mh MTV wamenikosha baba T..” . Picha hapo chini ni babutale,meneja wa Diamond akiwa na dereva huyo….
Pia babutale amefunguka hivi kuhusiano na
CREDIT.VIBE TZ
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment