0


Safari ndefu ya ya mchakato wa tuzo za MTV (MAMA2014) Ulioanza rasmi April 16 baada ya kutangazwa majina ya nominees na kuanza kupigiwa kura imefikia ukingoni usiku wa kuamkia leo, ICC Arena, Durba Afrika Kusini.  

Kwa mujibu ya matokeo ya mchakato mzima, Tanzania hatubahatika kupata tuzo hata moja kati ya tuzo mbili alizokuwa anawania Diamond Platinumz (Best Male Artist na Best Collaboration).  Davido ndiye aliyebeba tuzo ya Best Male Artist na tuzo nyingine kubwa ya Artist of The Year. Na Tiwa Savage aliipeleka Nigeria tuzo ya Best Female.

Kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini ndilo lililonyakua tuzo kubwa zaidi usiku huo, tuzo ya Wimbo bora wa mwaka na wimbo wao maarufu wa Khona waliomshirikisha Uhuru. Pia likashinda tuzo ya kundi bora (Best Group).

Mafikizolo wanawania pia tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act.  Moja kati ya surprise zilizowavuta wengi ni pale D’Banj alipoungana na Trey Songz jukwaani.

Macho ya watanzania na nguvu kubwa inaelekezwa BET ambako Diamond anawania tuzo ana kila dalili ya kuwazidi wenzake.

Hii ni orodha ya washindi:                                                                                        


Song of The Year
Khona-Mafikizolo feat Uhuru

Best Collabo
Y-tjukutja – Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha

Best Music Video
Clarence Peters (Nigeria)

Best Francophone
Toofan (Togo)

Artist of the Year
Davido (Skelewu)

Best Hip Hop

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X