0


1
Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa
karibu wakiwemo mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha Chris Brown tangu atoke jela.
Ukiangalia kwa makini picha hizi utagundua kwamba Chris Brown amenenepa tofauti na vile alivyokuwa aningia gerezani. Party hiyo ilijumuisha sherehe ya birthday yake iliyopita. Watu waliokuwepo kwenye hiyo party ni T Pain,Tyga,Big Seam na marafiki wa karibu pamoja na familia.
3
2
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X