Ukizungumzia mambo yetu yale kwa
watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia swala zima la urembo.
Kuna tafsiri nyingi za msichana mrembo lakini kwa hawa dada zetu wa kike
waliamua kuongeza urembo wao kwa kuweka mkorogo “bleaching” , full
u-michael jackson Hizi ni baadhi za picha zinavyoonyesha wasanii hawa
wa kike walivyokua mwanzo na walivyo sasa ;-
Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’

Wema Sepetu

Shilole

Ray C

Ruth Suka ‘Mainda‘


Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment