0
Mengi na K-lyinn 
Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamama Jacqueline
Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia  salamu mzazi mwenzie  kwa kuweka picha hii:
Nakuandika ujumbe huu:



 Wishing my love,best friend,father of my kids and the most wonderful human being I know Reg,a Very Happy Birthday ������������ With all my love.
Mtandao Huu unakutakia furaha na maisha marefu mzee wetu!!

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X