MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni
aliwashangaza watu baada ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na
kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja kimoja kichopo
mjini Arusha ambapo mmoja wa watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba
hifadhi ya jina lake alisema:
“Yaani nilimuona Arusha akiwa
amevaa gauni lililoacha wazi matiti yake, kaficha chuchu tu na
inavyoonekana gauni lilimvuka, akaonekana akihangaika kulirudishia bila
mafanikio.”

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment