
Baadhi
ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya
kugundisha nywele aka wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gundi pasipo
kujua mazara yake.
Watafiti
na Madaktari kutoka bara ya ulaya wamethibitisha kuwa gundi hizo
zinazotumiwa huwa zinakemikali ambayo zinaleta adhari kubwa katika mwili
wa mwanadamu hususani kansa.


Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment