1


Safu yetu ya wanaotafuta  wachumba na marafiki inaendelea kama kawaida leo tunao  hawa hapa….

·       Naitwa Godifley miaka 25 nipo Dodoma  natafuta mwanamke wa kuowa mwenye miaka 20. Vigezo na masharti … awe mwembamba kiasi ziwa liwe dogo awe mweupe kiasi ajue kupika, awe msafi, urefu futi 5 asiwe anakula sana,  awe mcha mungu awe anafahamu nini maisha. Elimu yake kuanzia kidato cha nne kwenda mbele, mawasilano zaidi 0777 832317 au kwenye facebook tafu mr.
·       Naitwa Joseph natafuta mchumba mke , awe siliasi kuolewa, sifa nimtakae awe na mvuto  mtulivu anajiheshimu mwenye tabia nzuri. Mstaarabu. Ajue kupenda kwa dhati nk umri 25 – 40. Aliye siliasi anitafute 0763458933 nipo Dar sms zitajibiwa umri wangu 31
·       Hi naitwa Happy natafuta marafiki wa kubadishana mawazo my number 0784962562
·       Naitwa Emmanuel nipo Dar natafuta marafiki wa jinsia zote namba yangu 0686920629
·       Naitwa Paulo nipo Dar natafuta mchumba miaka yangu 19 my no 0712300347
·       Naitwa Stephen nipo Dar ,mwanamke yoyote ambaye ana mapenzi ya kweli ambaye atanipenda aje umri kuanzia miaka 19-20 karibu mwenye mapenzi ya kweli no 0653314715
·       Jina langu Hussen umri 24, niko Kibaha natafuta mpenzi atakayekuwa mwaminifu ili aw mke. Sifa awe na umri 18- 22, awe muislamu awe mweupe au maji ya kunde na mwenye kujistili, nitampenda na kumjali kuhusu kazi nitamfahamisha no 0755874541
·       Mambo vp wadau wa ukurasa huu mm naitwa Daudi Henr naishi Singida nina miaka 23 nahitaji mchumba mwenye mapenzi ya kweli aliye tayari anitafute kwenye 0764249877
·       Natwa alwatan kiungo nipo Lushoto, natafuta marafiki wa kuchati nao umri20-40 sichagui dini 0714419763
·       Assalam alykum….! Naitwa Said Juma nipo Tanga natafuta marafiki wa kike wa kike wa kuchati nao kabila yoyote ,kwa mawasiliano 0687331344
·       Habari friends jina langu naitwa Daniel Dos king Bravery boy, nipo ktk kutafuta marafiki wa kuchati nao , kwa moyo mkunjufu mnakaribishwa all people any color umri kuanzia miaka 18 – 30 all sex sinaubaguzi kama utapenda kujoin nami kwenye my no is 0757319148
·       Natafuta mchumba wa kike alie siliasi kwa sasa nipo chuo namba yangu 0689011377
·       Mimi naitwa joseph natafuta mke aliye silias mwenye mvuto, anayejieshimu , mtulivu mwenye tabia nzuri. Umri 25 na kuendelea ambaye yuko tayari anitafute 0682175151 usbp sms zote zitajibiwa, umri wangu ni miaka 31
·       Naitwa nicholausi nipo Mbeya natafuta mpenzi wa kuchati nae aliye tayari call 0777745471
·       Natafuta mchumba awe na umri wa miaka 18 -22 mm naitwa Daudi niko Singida mawasiliano no 0764249877 atume sms au apige
·       Naitwa John natafuta mchumba aliye tayari kuolewa umri kuanzia 20 – 27 no 0788794566
·       Hey Chaz wa Dsm natafuta mchumba sifa awe mkiristo. No yangu 0659879710 sms zitajibiwa
·       Habari zenu wadau naitwa Sabrina nipo Zanzibar nina miaka 22 ni mwanafunzi,natafuta rafiki wakiume ambaye ambaye ni muislamu, awe mweupe kidogo,awe na umri 24-30 pia awe ni mrefu na awe kati ya nchi zifuatazo UK, USA, Dubai na nyinginezo, aliye serious anicheki 0772 286228.
·       Naitwa Gidion Kivuyo namtafuta mchumba (mke)wakudumu|wandoa. Miaka 24 asinizidi umri zaidi ya miaka miwili .Elimu yangu 0 lever mimi ni mweupe wastan,awe mzungu au mwafrika sichagui ilimradi awe interest kwangu nipo Arusha 0752651925 Kwa mawasiliano zaidi
·       Mambo vp naitwa Ezra nipo kijijini Mlali Kongwa umri wangu ni miaka 37 natafuta rafiki wa kike wa kuchati awe anatoka Dodoma no zangu 0753887801.
·       Naitwa Kabisi Shija kabila msukuma natafuta mchumba wa wa kike mwenye miaka 18 sibagui kabila awe mwembamba kiasi yani umbo no 8  mawasiliano 0689943759
·       Hi friend naitwa msema Jackson napatikana Musoma natafuta marafiki wa kuchati nao jinsia zote kwa aliye tayari tiririka no 0756370531
·       Naitwa Chris nipo Arusha, nina miaka 26,nafanya bihashara pia ni mtanashati.Nahitaji mwanamke anayejiheshimu na mwenye mapenziya dhati . Vigezo awe na mvuto wa umbo na tabia, awe na kazi ya kujiingizia kipato na kujitegemea  pia asiwe na mtoto. Kama upo serios na kuingia ktk maisha ya ndoa tuma sms 0717573627
Tuko pamoja sana watu wetu wa ukurasa huu kama na unahitaji mchumba usisite  tuma kupitia degeshaban@yahoo.com

Post a Comment

  1. Habari zenu , natafuta mchumba wa kike , nipo dar , namba yangu ni 0685418424

    ReplyDelete

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X