
Ndani
ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata
utandawazi, vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala
na ipo karibu na uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa
Stockholm, Sweden




Nyumba
hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu na
uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden

Mmiliki wa ndege hiyo Oscar Divs alinunuwa ndege hiyi iliyoundwa 1976 Boeing 747-200 na kuibadilisha kuwa nyumba ya wageni

Moja ya chumba katika ndege hiyo


Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi


Sehemu ya kupumzikia
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment