
Ushaharibu
ngoma ya mwanadada snura ambayo ameiachia kupitia kipindi cha leo tena
leo ilikua na bonge moja ya kampeni kwenye mitandao ya kijamii hasa
kwenye mtandao wa instagram.

Ushaharibu
ni moja kati ya kampeni kubwa za kwenye mitandao ya kijamii kuwahi
kutokea kwa mwaka 2014, na pia haikuwa na gharama kwa Snura zaidi ya
kuhakikisha anakua na bundle ya internet, na aliiendesha kwa zaidi ya
mwezi mmoja kwa watu kumtumia picha wakiwa wameweka ishara ya alama ya
x.

zaidi huyu hapa snura anafunguka kuhusu kampeni hiyo na mafanikio yake.
BOFYA UMSIKILIZE
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment