Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini’ .
Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady
Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash
‘Kapteini’ kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali
kivipi?
Akizungumza katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye mgahawa
wa staa huyo wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar
mwishoni mwa wiki iliyopita, Jide alisema kuwa yeye na Gardner
wamefikia hatua ya kuishi katika staili hiyo kutokana na mapenzi yao
yaliyopitiliza.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment