0
Kwa mara nyingine tena leo Jumatatu nyingine  tunawaletea waliotutumia maombi yao ya kutafuta marafiki  na wachumba, kupitia email yetu degeshaban@yahoo.com nasi bila hiyana tunayaweka hewani haya hapa
  • Naitwa Magret Joshua natafuta marafiki wa kuchati na kubadilishana mawazo mawasiliano 0754877172
  • Naitwa Assanary ni kijana  wa miaka 29 mrefu maji ya kunde mwembamba naishi Mwanza natafuta marafiki wa kuchati nao na  kubadilishana mawazo,vigezo au umri usiopungua miaka miaka 30 bila kuchagua jinsia ila hasa wawe wamama wafanya bihashara au utumishi, naamini tutapeana muongozo ulio salama namba zangu 0753909614 asibip ujumbe mfupi utajibiwa
  • Naitwa Gervas nipo Morogoni nina umri wa miaka 24 natafuta mchumba awe na miaka 18 - 20 awe mweupe mrefu wa saizi ya kati, aliye tayari anitafute kupitia namba hizi 0768121850 au 0657387053
  • Naitwa Leodiga Bagamoyo na mchumba wa kikristo awe msichana mstaarabu na kujiheshimu awe na elimu kiasi namba zangu 0766553459 asinibp tafadhali 
  • Naitwa Philemon natafuta mchumba na mashabiki wa Arsenal sibagui dini umri kuanzia 18 - 20 nipo Kigamboni Dar namba yangu 0762323534 sms zitajibiwa ukibip utapigiwa
  • Naitwa Danny mwankuga natafuta girlfriend yoyote anicheki kwenye fb au ni call 0718002295
  • Naitwa Amasha Jinsia mwanaume natokea Tunduma ila kwasasa nipo Mbeya natafuta marafiki wa jinsia zote ili kubadilishana mawazo atayekuwa tayari anitafute kwa namba 0786651333 sms zote zitajibiwa napenda sana kuchati kwa sms.
  • Mimi Dulah nina miaka 19 natafuta rafiki wa kike no 0686898790 nipo Igunga 
  • Naitwa Juliasi pande za Dom natafuta mchumba awe na miaka 18 - 23. Asiwe mnene mie nina miaka 24 aliye tayari tuwasiliane no 0656482036.
  • Naitwa Patricya umri wangu 34, natokea pande za Manyara natafuta marafiki wa jinsia zote wa kubadilishana mawazo  0755824781. Nawatakia matashi mema. 
  •  Naitwa salim mvulana naishi Zanzibar natafuta mchumba awe msichana umri 20 - 28 awe muislamu awe mwembamba mrefu wastani anayejipenda usafi muhimu, sibagui kabira wa rangi,mawasiliano kupitia 0717902500
  • Naitwa John nipo Tanga natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao sibagui kabila, nina umri wa miaka 23, namba yangu 0713188736 au 0755058043
  • Naitwa Juma Omary wa Tabora umri wangu miaka 22 natafuta marafiki wa kike umri kuanzia 18 - 21 tuwasliane 0764148763 au 0789697677
  • Hero marafiki jina langu Samu nipo  Longido natafuta rafiki wa kike umri wangu ni miaka 26 wake uwe 18 - 24 kazi muajiliwa mshahara siri yangu, yeye pia awe na kazi . Sijawahi kuoa yeye pia awe ajawi kuolewa, muonekano awe mweupe asiwe mwembamba wala sana, anajiheshimu mkweli na mwenye kupenda maisha. Aliye siriasi kama mimi anitafute kupitia 0763553688.
  • Naitwa Anna natafuta mchumba umri 26 kabila msukuma pombe situmii kabisa,umbo la kati rangi maji kunde pia ni mstaarabu sana, niko serious natafuta mchumba aliye serious. sifa (1) Awe na ofu ya mungu (mkiristo)   (2)asitumie pombe sigara, awe na umri 29 - 32  (3)awe na umbo la kati, asiwe mnene sana, na awe maji ya kunde  (4)awe na mtoto 1 pia awe mstaarabu, upendo ,huruma, awe mpenda amani sipendi fujo asante! namba 0752571823. aliye serious tu .mengine tutafahamiana baadaye.
  • KAMA UNATAKA WACHUMBA WENGINE BOFYA HAPA
      KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI
    PIA JIUNGE NAMI KWENYE FACEBOOK BOFYA HAPA 
    Tupo kwa ajili yenu wadau wetu yoyote mwenye kupenda huduma zetu au mwenye ushauri atutafute kupitia degeshaban@yahoo.com
    TUNATOA OFA MWEZI HUU WOTE TUNAFUNGUA AKAUNTI YA FACEBOOK BURE . TUTUMIE KUPITIA EMAIL  ZETU HAPO JUU.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X