0
SHEBBY BLOG


J LOVE

Huyu hapa ndo director mkali anayekuja kwa kasi  pande za Lunzewe anaitwa Zabron a.k.a.  J Love .  Ameshafanya kazi kibao na wasanii wa Lunzewe lakini amesema haitoshi anahitahiji kufanya kazi na masupasta kibao hivyo anaitaji sana kampani lenu wadau. Yeye ni director pia ni producer. Amesema ndoto yake awe kama Man water na upande wa madirector awe kama Nisher. Akiongea na Blog yetu amesema anaomba sana msanii yoyote ambaye yupo tayari kufanya kazi naye ye yupo tayari. Haya mawasiliano yake 0788648294 yupo Lunzewe studio yake inaitwa KH RECORD.Ukipiga ulizia director Zabron au J Love.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X