0
Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao.
Wema Sepetu hakukosa kumsindikiza kipenzi chake uwanja wa ndege.
Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema anatarajia kusafiri kwenda nchini Nigeria (March 30) kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake mpya aliofanya collabo na mastaa wa huko.  Usiku wa kuamkia leo Platnumz amepost picha Instagram akiwa ameongozana na meneja wake Bab Tale wa Tip Top Connection, wakiwa uwanja wa ndege JNIA tayari kwa safari yao ya Lagos.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X