0
Machalii Pori wana wa Ifakara wenye maskani yao Arusha pande za Usa River kwa sasa, baada ya kutoa wimbo wa "Njoo kwetu" sasa wanasema "Tunaonekana" ikiwa ni Afropop category mkono toka Noizmekah Studios Arusha, bofya HAPA kusikiliza/kudownload na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Machalii Pori kupitia +255 767 554 041 & +255 765 396 635 & +255 763 050 787 

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X