0
Screen Shot 2014-03-11 at 4.57.11 PM
Hili imetokea Florida Marekani ambapo mtu mmoja alikua anaruka akiwa na Parachuti lakini akakutana na ndege hii ndogo ambayo baada ya kumgonga walianguka chini wote huku ndege ikiangukia pua.
Pamoja na ajali hii, hakuna mtu aliepoteza maisha ila wote walipata majeraha madogomadogo baada ya kuanguka kwenye umbali wa futi 75 na wakapelekwa hospitali ambapo mwenye Parachuti John Frost (49) aliruhusiwa kuondoka.
Hili tukio limenaswa jinsi lilivyotokea kwa sababu kulikua na mpiga picha aliekua na camera karibu na alikua anashuhudia kila kitu.
Screen Shot 2014-03-11 at 4.58.21 PM

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X