0
Hii imetokea kenya ambapo hivi juzi rais uhuru alikuwa akipita kuelekea katika hotel moja kwenye mkutano .... askari ambaye alikua zamu barabarani siku hiyo alilisimamisha gari ... ndipo rais alijaribu kama kumpita lakini askari huyo bila kujua alisimama imara ,,,, ndipo uhuru aliposhusha kihoo na kusema " ni mimi officer fungua" hata hivyo maaskari wamekuwa na furaha na utawala wa raisi huyo kwani wanadai siku hizi hawapati kazi ya kucontrol magari kwa ajili ya msafara wa rais kama ilivyokuwa utawala wa mwai kibaki

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X