0

Ommy Dimpoz kupitia kampuni yake ya Poz kwa Poz Entertainment ameendelea kujiimarisha kwa kuandaa show zake mwenyewe ambapo jana alitumbuiza wilayani Kahama, Shinyanga na kuujaza ukumbi wa Social.
Ommy ameiambia Shebby D blog kuwa kile anachokifanya sasa kinaweza kuwa changamoto kwa wasanii wengine nchini kuanza kujiandalia show zao wenyewe na sio kusubiri hadi wapigiwe simu na mapromoter. Leo atakuwa na show nyingine aliyoaindaa mjini Geita kwenye ukumbi wa Ambassador na anasindikizwa na mshindi wa EBSS, 2012, Walter Chilambo.
Hizi ni picha za show ya Kahama.


IMG-20140201-WA0018
IMG-20140201-WA0000


IMG-20140201-WA0001
IMG-20140201-WA0002


IMG-20140201-WA0003
IMG-20140201-WA0005


IMG-20140201-WA0006
IMG-20140201-WA0007


IMG-20140201-WA0008
IMG-20140201-WA0009


IMG-20140201-WA0010
IMG-20140201-WA0011


IMG-20140201-WA0012
IMG-20140201-WA0014

IMG-20140201-WA0015
IMG-20140201-WA0017

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X