Maigizo mengi sana nchini huwa yanalalamikiwa kukosa uhalisia wa tukio,hebu tumia dakika zako chache kuangalia namna picha hizi zilivyochanganywa ambazo zinamuonyesha Kitale kama kamkata kichwa huyo jamaa.
Kwa haraka haraka unaweza kudhani kweli lakini bado jina la
movie hii halijajulikana ingawa kwa kisehemu hiki kinaonyesha kama ni movie inayoongea
na vitendo zaidi,lakini chakujiuliza hapa ni kwamba, mbona kichwa hakionekani maana
kwa picha hii inaonekana kama jamaa ndo kamkata Kichwa muda huo.
Categories:
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment