0


Ray kigosi akiwa anamuonekano wa ujana na uzee
 
Laidy Jaidee akiwa namuonekano wa ujana na uzee
                                                     Jackline walper akiwa na mwna muonekano wa ujana na uzee
Keylin akiwa na muonekano wa ujana na  uzee
Picha za wasanii hawa nyota bongo katika tasnia kuu mbili yan tasnia ya muziki na filamu zikiwa zimehaririwa na moja wa hariri wa kubwa wa picha East Afrika mwana dada toka nchini tanzania mwenye makazi yake zaid southafrika ajulikanae kwa jina la Victoria Edward zimetupiwa mtandaoni na kupendwa na wasanii wengi kupitia mtandao wa instagram

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X