0
  • Msanii mkali toka pande za Musoma Chief maker  amesema ana enjoy sana siku ya leo kwa kutimiza miaka kazaa , Na anawashukulu mashabiki zake wanaondelea kumpa sapot toka safari yake ilipoanza mpaka sasa alipofika. Pia ameitonya Shebby D blog kuwa kuna kitu kipya kinakuja kikali zaidi kinaitwa SIPENDI UMAARUFU amelekodia kwenye studio yake itwaayo Chief Record  kaeni mkao wa kula soon kitakuwa hewani.Shebby D blog tunapenda kumtakia heli na baraka azidi kusonga mbele asirudi nyuma kamwe big up kwako.FUNGUA HAPA UMSOME KUPITIA FACEBOOK

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X