0

BIBI KIZEE ANAYEKADIRIWA KUWA NA UMRI WA MIAKA 70 AMBAYE JINA LAKE HALIKUWEZA KUPATIKA MARA MOJA AKIWA AMEPAKIWA KWENYE GARI BAADA YA KUKAMATWA AKIWA UCHI WA MNYAMA CHUMBANI KWA MTU HUKO BUKOBA
BIBI KIZEE HUYO AKIINGIZWA KWENYE GARI ILI KUONDOLEEWA ENEO LA TUKIO.
POLISI WAKIONDOKA ENEO LA TUKIO WAKIWA NA SHUHUDA MMOJA ALIYEDAI KUWA ALIKUWA MIONGONI MWA WALIOMKURUPUSHA BIBI HUYO CHUMBANI.
WANANCHI WA MJI WA BUKOBA WALIVYOFURIKA ENEO LA TUKIO ILI KUMTAMBUA BIBI HUYO AMBAYE ALIKAMATWA ARFAJILI.

POLISI WAKIMWINGIZA KITUONI BIBI HUYO KWA AJILI YA MAHOJIANAO NA ULINZI WAKE BINAFSI.

Mashuhuda wa mwanzo wanasema ,Bibi huyo amekutwa akitapatapa bila kujua la kufanya huku mwili wake ukiwa Unchi na nguo zake  zikiwa pembeni kitendo kinachopelekea kusadikiwa kwamba Bibi huyu ni  mchawi wakati wengine walidai  tusubili taarifa ya Polisi na wengine wakisema uwenda kapatwa na matamanio ya kimwili.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X