Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa
uso na basi la Mohamed Trans wameagwa Mkoani Dodoma tayari kwa
mazishi.
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID
MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya
Askari hao
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha
vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka
ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment