Arobaini
(40) za mke wa mtu zimetimia baada ya kunaswa ndani ya gari akifanya
uzinifu na kijana mmoja mtanashati ‘Sharobaro’ aliyejitambulisha kwa
jina la Athumani (26) maeneo ya Bamaga Mwenge, jijini Dar.
Tukio
hilo lilitokea usiku wa manane Februari 4, baada ya mke huyo
aliyetambulika kwa jina moja la Husna na sharobaro wake kujiingiza
kwenye mtego na kunasa wazimawazima.
Mara
baada ya kunaswa na kutakiwa kuvaa nguo zao, Sharobaro aliomba
asipelekwe polisi na kuapa kutorudia tena huku akimtupia lawama zote
mwanamke aliyekuwa naye.
Naye
mwanamke huyo alisema kuwa kukamatwa kwake ni kama ajali kazini kwa
kuwa tangu aanze biashara hiyo amekamatwa mara nyingi lakini si katika
mazingira kama hayo.
“Jamani
nimekamatwa mara nyingi sana lakini siyo katika mazingira ya aibu kama
haya, hata mwenyewe sijapenda,” alisema mwanamke huyo.



Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment