0
  1. Mimi naitwa Betty kabila mchaga,umri ni 37, kazi yangu bihashara ni mama wa watoto 3 wa kike 2  mmoja wa kiume. Nahitaji mume wa umri kati ya 37 hadi 60 vigezo awe na kazi inayoeleweka asiwe mbabaishaji niko sirous kama kuna aliye na uhitaji kama wangu apige 0759422067        
  2. Mimi kwa jina naitwa Godeni Mwelela nina miaka 35 nipo stend kuu ya Iringa.Nikopeke yangu sjaoa na sina mtoto , napatika  kwa namba 0769382101
  3. Mambo vp naitwa swagger naishi  Dar ni mfanyakazi wa tv flan nahitaji msichana wa kunipa amani faraja na mapenzi  ya kweli napatikana kw number 0712 62 64 64
  4. Mambo nahitaji marafiki 0713 173181      
  5.  Mambo vp wadau wa ukurasa huu natwa Docta Muddy naishi Dar nahitaji mchumba wa kweli aliye tayari tuwasiliane kupitia number 0712 92 71 41
  6. Habari wadau, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 34 nimeajiliwa katika mojawapo ya shirika la uma nchini niko mkoani mbeya, hivi karibuni nimegundua nimeathirika na vvu maambukizi hayo nimeyapata saluni mwezi wa 11 mwishoni nilipoenda kupata huduma ya kunyoa sio kwamba mimi ni mzinzi, mimi ni mtu ambae ninaheshima zangu, dhumuni la kuweka post hii nikwamba natafuta mchumba mwenye maambukizi kama nilivyo mimi ili tufunge ndoa, sipendi kuambukiza wengine elimu yangu ni kidato cha nne na bado nna mpango wa kuendelea zaidi na masomo, sifa za mtu nnayemuhitaji (1)awe amepata maambukizi miezi ya karibuni (2)awe hajaanza dozi ya arv(3)awe mwenye ajira au anayefanya shughuli yoyote ya kipato,sifa hii siyo ya lazima hata hasiye na ajira ananafasi(4) miaka kuanzia 29 hadi 32(5)awe na elimu yoyote (6)awe hajawahi kuzaa(7)awe mnene wa wastani asiwe mwembamba(8)awe muumini wa zehebu lolote la kikristo, japo kuwa mimi ni mkatoliki(9)awe tayari kuhamia na kuishi mkoa wowote kwasababu shirika lililo niajiri mara kwa mara hufanya huamisho kwa wafanya kazi mawasiliano namba 0654893177 mawasiliano ni vizuri yafanyike usiku, muda wa mchana mara nyingi huwa niko ofisini hatutaweza weza kuongea vizuri

    Naitwa sam nipo dar natafuta marafik wa kike namb ya simu ni 0652333591

    Natafuta rafiki wa kuchati nae ambaye ni mkenya sibagui jinsia  lakini awe anajua kuongea kiswahili & intanational language yaani kingeleza mimi ni mtanzania nipo Njombe Mhaji. mawasiliano yangu ni 0758444153

    FUNGUA HAPA  UWAPATE WENGINE

    Wanaotaka wachumba au marafiki tutumie kwa namba zetu 0752520417 tutakuweka hewani au tuma kupitia degeshaban@yahoo.com huduma hii ni bule hakuna malipo.

     




Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X