Mwanasiasa mmoja wa upinzani nchini #Zambia
ameshtakiwa kwa kosa la kumharibia sifa rais wa nchi hiyo kwa
kumfananisha na kiazi.
Mwanasiasa huyo Frank Bwalya akikutwa na hatia
anakabiliwa na kifungo cha miaka mitano jela.
NI BLOG INAYOJIUSISHA NA JAMII YOTE KWA UJUMLA
SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment