Sudi
Mohamed, 'MCD' (pichani juu) ambaye ni mpinga tumba maarufu
nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi ambako alikwenda
kwa ajili ya matiabu zaidi yapata miezi mitatu iliyopita.
Kwa mujibu wa
kiongozi mmoja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Meneja Hassani, MCD
alipelekewa nauli ya kurudi jijini Dar esalaam leo ili arejee kesho
lakini mauti yakamfika usiku mida ya saa tano na nusu.
MCD amewahi
kupiga katika bendi kadhaa za muziki wa dansi ikiwemo Mashujaa Band na
African Stars ambako alirejea tena.
Mungu ailaze roho yake mahali pema
peponi - ameen!
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment