0
Na Mwandishi wa Xdeejayz
Msanii wa bongo Move ambae ni mtoto wa kalani wa bank kuu aliyefahamika kwa jina la Nance Njozy ameachia hewani picha za aibu kwa makusudi kabisa kwa lengo la kutafuta wanaume.
Habari zilizoifika Xdeejayz juzi zilisema kuwa Nance ambae babaake ni mfanyakazi wa Bank Kuu ya Tanzania ameamua kujidhalilisha makusudi ili kupata umaarufa pamoja na kuwapata mabwana watakaomla uroda bila shida.
BEBE
Nance Njozy akiwa kwenye picha za kfuska kwa ajili ya kuwatega wanaume dhaifu ili wamle uroda.
Chanzo chetu kilichofikisha picha hizo kilisema kuwa Nance ambae hivi karibuni pia lmanusra afumaniwe na mke wa Mh mmoja jina tunalo ambae amepewa Cheo Kikubwa hivi karibuni na mkubwa wa nchi na alitoka nduki ndani ya hotel akiwa mtupu Mkoani Dodoma.


SOURCE: XDEEJAYZ

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X