![]() |
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha.
2. Jitaidi utafute mchumba sahihi na mjitaidi mfunge Ndoa...
3. Acha kuishi nyumbani kwa wazazi anza kujitegemea na usiende kuishi na washikaji (mageto).
4 Lipa madeni yote ya zamani.
5 Jali sana Afya yako.
6. Kuwa na marafiki wenyechangamoto za maendeleo tena wanaotafuta maendeleo kwa njia halali za kumpendeza Mungu wetu.
7. Anza kununua asset kama ardhi,nyumba, gari,n.k.
8. Jifunze kuvaa kwa Heshma na sii tu suala la kupendeza.
9. Yazamani yote futa anza maisha mapya.
10. Achana na starehe zisizo na maana.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment