0
 
Mimi  ni  mwanamke.Naomba msaada wa  mawazo  maana  sijui nina nini mimi... Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei
Hapo ndo linapoanzia tatizo na  kunifanya nijisikie vibaya...Saivi  hata mtaani nachagua kwa kupita... 

Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi na UCHI wangu  ni mkubwa kiasi kwamba ha piz hadi amfikirie mpenzi wake wa zamani...
Jamani naomba msaada nifanyaje mie. Je kuna dawa ya kupunguza haya maji na kuifanya hii MAMBO  iwe  ndogo?

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X