
Huu hapa ndo mwonekano Mpya wa Kimwana Wema Sepetu…!!
Pichani juu ni taswira za Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu
alizotupia katika ukurasa wake wa Instagram ambapo mojawapo aliandika
hivi “For my baby… yes you…”. Mrembo huyu kwa sasa yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.


Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment