mara nyingi Vikwazo hukatisha Tamaa na Hata kushindwa kuendelea katika kufikia Ndoto yako uliyojiwekea katika Maisha.
Kiukweli mafanikio hayaji kwa kukaa tu bali ni kuchakalika na kujituma
na Mtu mwenyemafanikio ni mengi sana amepitia mengine hata ni
yakukatisha tamaa..
Nilipata nafasi ya kuzungumza na msanii ambaye anafanya Vizuri sana kwa
sasa katika muziki wa Bongo Fleva, Nikisema utaje wasanii 3 wanao fanya
Vizuri kwa sasa Bila shaka Utaanza na Jina lake.
Diamond Platnumzi nilimuuliza kuwa ni njia gani ambayo anaitumia kutatua vikwazo ambavyo hujitokeza ili kufikia ndoto zake katika Maisha... alijibu kwa maneno haya tena kwa upole kuwa "Ni kumtanguliza Mungu Mbele katika Kila jambo"
kama na wewe unandoto zako nyingi na unapata vikwazo malanyingi basi maneno haya yanaweza kukufunza kitu

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment