0


jlo pitbull 
Ebwana shirikisho la soka duniani kwa kushirikiana na Sony Music wametangaza kwamba ‘We Are One’ ndio jina la wimbo wa kombe la dunia 2014 litakalochezwa Brazil ambapo mastaa watatu wa
muziki walioteuliwa kuimba huo wimbo ni Pitbull, Jennifer Lopez pamoja na Mbrazil Claudia Leitte.
Single itaachiwa na Sony miezi michache ijayo na itatumika pia kwenye ufunguzi wa mashindano hayo Sao Paulo Brazil June 12 huku pia video yake ikifanyiwa kazi kwa sasa.
Hao hapo juu ni J.Lo na Pitbul, na hizi picha hapa chini ndio za huyu mrembo mwenyewe wa Kibrazil.
brazil 2

Brazil 1 
credit-millardayo

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X