Timu
nzima ya mtandao huu inapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya
wasomaji wetu wote popote walipo nchini Tanzania na duniani
kwa ujumla....
Moyo
usio na shukrani hukausha baraka zote, hivyo kwa moyo mkunjufu
kabisa, Shebby D blog inapenda kutoa shukrani zake za dhati kwako
wewe msomaji wetu kwa sapoti yako kubwa uliyotupa mwaka 2013
na kutufanya kuwa miongoni mwa mitandao bora kabisa nchini
Tanzania. Kwa kweli tunawashukru sana, Mwenyezi Mungu muumba wa
vyote awabariki sana.
Tunawatakia kila la kheri katika
Mwaka huu mpya wa 2014

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment