'Wowowo' la Agness Masogange lamtoa Udenda Senga...!!
Mwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa al-maarufu kama “Senga” alishindwa amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja akishangaa laivu mzigo (wowowo) la mwanadada Agness Masogange wakati wakishoot filamu mpya ya mwanadada Nisha ambayo mwigizaji huyo ameshirikishwa. Tazama picha.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment