0


Kivuko kikubwa cha Mv Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake kushindwa kufanya kazi...

Mpaka sasa sababu za injini kushindwa kufanya kazi hazijajulikana.....
 
Mhanga  mmoja  wa  tukio  hilo ameielezea  kwa  kifupi  ajali  hiyo  kwa  kusema:

"Tulikuwa tunatoka Dar kwenda Kigamboni,hatua chache kabla ya kufika Kigamboni injini zilizima...Baada ya kuzima zikaja Tag kwa ajili ya kutuvuta mpaka ng’ambo ya pili ambayo ni Kigamboni,na ilituchukua dakika 45 mpaka kuvutwa ng’ambo ya Kigamboni"

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X