0

ILI UJUMBE WAKO WA KUTAFUTA RAFIKI AU MCHUMBA UENDE HEWANI TUMA  KWENDA degeshaban@yahoo.com BULE BILA MALIPO .

  1. NATAFUTA RAFIKI WA KIKE (MCHUMBA) , ALIYE SERIOUS.
    Mimi ni kijana mvulana, wa kitanzania kutoka mkoa wa mbeya.
    Nipo serious katika swala hili. Natafuta rafiki wa kike kwa urafiki utakaoishia kwenye uchumba kisha ndoa kama tukiridhiana na kukubaliana . Nahitaji mtu ambaye pia yupo serious katika swala hili vinginevyo kama haupo serious kaa pembeni maana sipendi kupotezeana muda.
    WASIFU WANGU:
    UMRI WANGU: miaka 28
    DINI YANGU: mkristo
    SINA MTOTO, SIJAWAHI KUOA.
    MWONEKANO WANGU: Mimi ni mweusi kiasi, mwembamba, sio mfupi sana wala sio mrefu. Mambo mengine kuhusu mimi nitamweleza muhusika baada ya kuwasiliana.

    WASIFU WA MSICHANA NINAYEMUHITAJI:
    UMRI WAKE: asizidi miaka 23
    DINI YAKE: mkristo
    ELIMU YAKE: yoyote
    KAZI YAKE: mwenye kazi au asiye na kazi.
    MWONEKANO WAKE: awe na umbo la wastani (asiwe mnene sana wala mfupi sana).
    MUHIMU ZAIDI: awe mweupe na awe asili yake mikoa kati ya Dar, Moro, Iringa au mbeya. Awe tayari kuishi mkoa wowote hapa Tanzania.

    ASIWE NA MTOTO, NA AWE HAJAWAHI KUOLEWA AU KUISHI NA MUME.
    Kwa mwenye wasifu huo niliotaja tu ndio anitafute kwa namba 0752827646 au 0713908229 au 0656380928
  2. Natafuta marafiki was kuchat NAo watsyp 0754214649
  3. Mm naitwa fredy naishi dar ila kwa sasa nipo kikazi Tanga. Natafuta mchumba popote awe anaishi dar awe na elimu angalau form six, awe mweupe mrefu kiasi mwenye haiba nzuri, msikivu, mstarabu na aliye tayari kuanzisha urafiki kwanza. Tuwasiliane 0718367656
  4. mambo vp? Naitwa stive natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao umri 18 na kuendele mi umry wangu 25 .elimu yangu ni ya chuo na kikaz niko airport vip section xms me on my number0759 300 462
  5. mimi naitwa Nick elimu yangu ni kidato cha sita nipo Lunzewe natafuta mchumba ambaye yupo siliasi kwa maisha na awe tayali kuishi mazingira yoyote. kwa upande mi nina fani ya ufundi ajitokeze sasa hivi hii ni nafasi pekee kwenu kina dada. awe na umri kuanzia 18 - 22 pia awe angalau amehitimu kidato cha 4 mawasiliano yangu ni 0753309619 .Kuhusu dini na rangi sibagui.

:Naitwa cash natafuta rafiki wa ukweli wa kupiga story,awe anajitambua,0763577536
Natafuta mpenzi popote alipo atakaekubalikuolewa niko mombasa kenya kwamawasiliano piga 0717606309
natumaini umzima kabisa wa afya kabisa. mimi kaka natafuta watu wakubadilishana nao mawazo wa rika zoke naomba basi udondoshe hii email adres pale kati kwa blog yako then ntachat nao zaidi kwa facebook na twitter na namba za simu. mimi ni dada mmoja nasoma chuo kimoja ivi MD medical doctor watakao kua interested welcome all. <bluejm7 gmail.com=""> 
naitwa jose natafuta mchumba  wakike sichagui namba ya cm 0764286650
natafuta mchumba awe anaishi mwanza town mkristo umri usiozidi 25 awe tiyari kupima namba yangu 0756849312
Natafuta rafiki wa karibu sifa  awe mwenye AKILI 0786436056 na 0769346115  naishi Dar es salaam
Natafuta mchumba au mke kuanzia miaka 20 mnene kidogo mfupi umri wangu miaka 23 tuwasiriane kupitia 0687453480
naitwa nestory peter natafuta mchumba awe na umri kati ya miaka 18 na 20. mim nakaa tabora. awasiliane nami kwa namba 0767007330
NAITWA HALID NINA MIAKA 30                  NATAFUTA MKE AWENA MIAKA 25 AU35 AWE MNENE KIASI UMBO TUWASILIANE KWA NAMBA  0716221361
Sizo 4 show natafuta mchumba wa kike umri 25 naishi dar kigogo sim0655790071
Natafuta mchumba awe mweupe pia umbo lake mwembamba awe anajua kusoma na kuandika mwaminifu 0768308527

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X