Fikiria Mazingira yafuatayo:
Umekuwa
kwenye uchumba na mdada kwa muda wa miaka mitatu.Katika muda wote huo
wa uchumba wenu, mpenzi wako amekuwa akikuambia kwamba yeye ni bikira na
hayupo tayari kufanya mapenzi hata siku moja hadi pale mtakapofunga
ndoa.
Ulikubaliana na sharti hilo kwa shingo upande na maisha yakaendelea japo kwa shida hadi pale siku mlipokuja kufunga ndoa.
Baada
ya harusi yenu kilichofuata ni fungate kwenye hoteli maarufu. Unaingia
chumbani ukiwa na furaha zote na hamu ya kukipata kile ulichokivumilia
kwa muda wote.
Unaanza
kufanya tu mapenzi, unahisi kwamba mwanamke huyo siyo bikra ila ni
mzoefu tu kutokana na kulegea kwa papuchi na mbwembwe nyingine za
kitandani.
Unaamua
kubaki kimya kwa sababu unahisi sio muda muafaka wa kuongelea hilo.
Katika kumwangalia vizuri sehemu za siri, unagundua kwamba ana tattoo ya
uume kwenye uke wake ukiwa umechorwa kuelekea kwenye "that particular
part"
- Je, utamfikiriaje mkeo kuhusu historia yake ya maisha yaliyopita.
- Je utaendelea kuishi naye kama mkeo au siku ya pili utambeba na kumrudisha kwa wazazi wake.
Home
»
ENTERTAINMENT
» FIKIRIA MAZINGIRA YAFUATAYO BAADA YA KUOANA NA MKEO...ALAFU NIAMBIE UTAFANYA NINI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment